Wednesday, September 12, 2012

Somalia baada ya kuchaguliwa Hassan Sheikh Mohamed kuwa Rais


Rais mpya wa Somalia  Hassan Sheikh Muhamud (katikati)

Matukio ya Afrika

Somalia baada ya kuchaguliwa Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais

Kwa kuzingatia changamoto nyingi zinazobakia nchini Somalia, je Rais Mohamud anatoa matumaini kwa mamilioni ya wakimbizi wa Kisomali hatimaye kuweza kurejea nyumbani? Daniel Gakuba anazungumza na Hussein Bantu, mbunge aliyeko mjini Mogadishu, ambaye pamoja na mengine anaelezea hali ya jumla ilivyo sasa nchini Somalia baada ya kuchaguliwa kwa Rais Mohamud.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri: Mohammed Khelef
umzo kati ya Daniel Gakuba na Hussein Bantu
Habari hii kwa idhini ya BBC

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad