Friday, July 19, 2013

Mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vicent Nyerere aliyevaa suti ya kijivu akiwa pamoja na waalimu wa shule ya sekondari Kwangwa mara baada ya kukagua jengo la maabara ya shule hiyo ambalo limejengwa kwa pesa za mfuko wa jimbo,mbunge huyo alikuwa akitembelea shule za sekondari na kuongea na waalimu


No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad