Tuesday, April 1, 2014

Mkurugenzi wa halimashauri ya mji wa bariadi akisema neno kwenye washa ya mradi wa Tika

Mkurugenzi wa halimashauri ya mji wa Bariadi,Bi Elika Musika aliyesimama akitoa maelezo kuhusu washa ya huduma ya tiba kwa kadi yaani[TIKA] kwa washiriki wa washa hiyo iliyofanyika jana  April 1/2014 kwenye ukumbi wa kanisa katoriki mjini Bariadi

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad