Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye
Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo
kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis
Mwamunyange
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akienelea kuwapungia mkono
kwa furaha kuwasalimia wananchi
Rais wa Zanzibar Dkt
Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakiwa na Viongozi wengine wakisimama kutoa heshima
wakati ikipigwa mizinga 21, uwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment