Hawa ni washiriki wenzangu katika mafunzo kuhusu uchimbwaji wa madini ya Urenium yaliyofanyika katika hotel ya South Beach Kigamboni Dare-salaam.
Mwanasheria wa kujitegemea ambaye pia ni mbunge wa Singida Tundu Lissu akitoa maada katika mfaunzo hayo.
Hawa ni baadhi ya washiriki toka nchi mbalimbali.
Hawa ni wasahiriki toka jamhuri ya kidomokrasi ya Kongo.
Mr Berensi akiwa na Ndugu Jean Claude Masumbuko toka DRC.
Mhe.Tundu Lissu akifafanua jambo na washiriki wa mafunzo hayo.