Monday, December 6, 2010

picha za mafunzo ya Uranium yaliyofanyika katika ukumbi wa mji mwema kigamboni Dare-salaam


 Hawa ni washiriki wenzangu katika mafunzo kuhusu uchimbwaji wa madini ya Urenium yaliyofanyika katika hotel ya South Beach Kigamboni Dare-salaam.



 Mwanasheria wa kujitegemea ambaye pia ni mbunge wa Singida Tundu Lissu akitoa maada katika mfaunzo hayo.
 Hawa ni baadhi ya washiriki toka nchi mbalimbali.
 Hawa ni wasahiriki toka jamhuri ya kidomokrasi ya Kongo.

 Mr Berensi akiwa na Ndugu Jean Claude Masumbuko toka DRC.
Mhe.Tundu Lissu akifafanua jambo na washiriki wa mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad