Wednesday, August 29, 2012

DC -Bunda awaonya watakaofanya mzaha na zoezi la sensa ya watu na makazi

Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Joshua Mirumbe pichani akisisitiza jambo kuhusu zoezi la sensa ya watu  na makazi  linaloendelea hivi sasa nchini kote  katika  wakati alipokuwa akiwahutubia viongozi wa halimashauri hiyo katika ukumbi wa chuo cha ualimu Bunda.picha na Berensi Alikadi

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad