Tuesday, August 28, 2012

Waziri Muhongo afanya ziara katika wilaya ya Bunda ambapo ametembelea jimbo la Bunda na Mwibara na kuwataka wachimbaji wadogo wadogo waunde vikundi na kukata leseni ili serikali iweze kuwatambua

 Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo akisalimiana na baadhi ya madiwani katika wilaya ya Bunda alipofanya ziara yake mwishoni mwa wiki hii.picha na Berensi AlikadiAdd caption

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad