Tuesday, August 28, 2012

Waandishi wa habari mkoani Mara leo wameanza mafunzo ya siku nne yanayohusu kuripoti habari kwa kutumia tovuti ,mafunzo hayo yanendesha na mkufunzi Lukelo Mkami toka Dare-salaam ,yanafanyika katika hotel ya Orange Tree mjini Musoma yameshirikisha jumla ya washiriki 18

Waandishi wa habari wa  mkoa wa Mara wakipata maelekezo toka kwa mkufunzi wa mafunzo ya Online ,Lukelo Mkamki anayeongea na simu  juu ya kufungua Tovuti., mafunzo hayo ya siku nne yanafanyika katika ukumbi wa  Orange Tree Hotel  mafunzo ambayo yamedhamiwa na umoja wa virabu vya waandishi wa habari nchini  UTPC  Picha na Berensi AlikadiAdd caption

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad