Wednesday, September 5, 2012

Kwaya ya kikundi cha Gari kubwa ikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo akina mama

Wasanii wa kikundi cha Gari kubwa toka katika kijiji cha Kisorya wilayani Bunda wakitumbuiza katika uzinduzi  wa mradi wa kuwajengea uwezo wanawake unaosimamiwa na kanisa Anglikan,uzinduzi ambao umefanyika leo katika kijji cha Tairo

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad