Wednesday, September 5, 2012

DC-Bunda akizindua mradi wa kuwajengea uwezo akinamama -kijijini Tairo

Mkuu wa wilaya ya Bunda katikati akikata utepe kuzindua mradi kuwajengea uwezo wanawake,kiuchumi,kijamii na kisaikorojiwa ambao unatekelezwa katika vijiji vinne vya wilaya hiyo na vijiji viwili katika wilaya ya Butiama.uliofanyika jana katika kijiji cha Tairo wilayani hapo,kulia kwake ni askofu wa kanisa hilo Helkia Omindo na kushoto kwake ni mwenyekiti wa kijiji cha Tairo Mwita Matare maarufu kwa jina la Mseveni

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad