| Mbunge wa viti maalumu vijana ccm mkoa wa Mara Ester Bulaya kulia akimkabidhi cheti mwanafunzi Penina Wayoga ambaye aliibuka kidedea mwanafunzi bora katika mahafari ya kwanza ya shule hiyo ya waschana ya Mkwezi iliyopo wilayani Bunda .jana picha na Berensi Alikadi . |
No comments:
Post a Comment