Watu waliokuwa na silaha
wamempiga risasi na kumuuwa mbunge wa baraza jipya mjini Mogadishu,
Somalia.

Bwana Mustaf Haji Mohamed ni mbunge wa kwanza kulengwa tangu bunge jipya rasmi kuchaguliwa mwezi Agosti.
Walioshuhudia tukio hilo wanasema mbunge huyo alipigwa risasi kadha.
No comments:
Post a Comment