Wednesday, September 26, 2012

Mbunge wa vijana Mkoani Mara Ester Bulaya akikabidhi vifaa vya michezo.

Mbunge wa viti maalumu vijana CCM mkoa wa Mara Ester Bulaya mwenye Tshet Nyeusi Akikabidhi jezi za mipira wa miguu kwa mmoja wa viogozi wa jumuia hiyo toka katika wilaya ya Butiama juzi mjini Musoma,Ester ametoa vifaa vya milion saba na nusu kwa kata 34 za wilaya hiyo,picha na Berensi  Alikadi.

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad