Saturday, September 29, 2012

Mkuu wa wilaya akifungua mkutano

Mkuu wa wilaya ya Bunda Joshua Mirumbe akifungua mkutano wa siku moja wa kutambulisha mradi mpya wa MAF unaofadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la milenia ya tatu, utakaotekelzwa katika wilaya nzima ya Bunda kwa muda wa miezi mnne

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad