Friday, December 13, 2013

Maisha ya Nelson Mandela

 8 Disemba, 2013 - Saa 12:58 GMT
Wananchi na viongozi wa Afrika Kusini wanashirki maombi ya kitaifa ya kumuenzi na kumkumbuka hayati Nelson Mandela.
Familia ya Hayati Nelson Mandela imezungumza kwa mara ya kwanza tangu Mandela Kufariki Alhamisi na kuelezea kuwa katika kipindi kigumu
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 95
Nelson Mandela alipostaafu mwaka 2004,Mwandishi wa BBC Richard Hamilton alikuwa ripota mjini Cape Town na hivi ndivyo anamkumbuka Mandela
Maisha ya hayati Nelson Mandela kwa picha
Hayati Mandela amefariki baada ya kuugua homa ya mapafu kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad