Tuesday, July 12, 2016

Habari za siku nyingi wapendwa wa blog hii ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vizuri na shughuli za kila siku,nipende kuchukuwa fursa hii kuwaomba radhi kuwa sikuwa hewani kwa muda mrefu na hii ni kutokana na kutingwa na majukumu ya kazi,lakini niwataarifu kuwa kuanzia leo niko tayari kabisa kuwaletea habari mbalimbali za mkoa wa simiyu na maeneo mengine kwa lengo la kuwahabarisha kinachojili ni matumaini yangu kuwa tutakuwa wote katika kupata kila matukio  na habari motomoto za kila siku za ukweli na uhakika na siyo za kupika,
Niwatakie kila laheri katika shuguli zenu,
 wasalaam
Berensichina,Alikadi,mkurugenzi wa Habari motomoto

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad