Tuesday, July 12, 2016

Hawa ni baadhi ya Ngo'mbe wa wafugaji wa wilaya ya Bariadi walikomatwa wakichunga ndani ya hifadhi ya serengeti wiki iliyopita wafugaji hawa wamekuwa wakiingiza mifugo hiyo usiku kwa ajili ya kuchunga licha ya sheria ya tanapa na ile ya wanyma pori kukataza

No comments:

Post a Comment

Comments System

disqus

Disqus Shortname

msora

Popular Posts

Header Ads

ad